Naitwa Hassan kutoka Mombasa. Kwa muda mrefu nilikuwa nikifanya biashara yangu ndogo ya bidhaa za rejareja, na mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri sana. Lakini ghafla hali ilibadilika. Wateja wakaanza kupungua bila sababu ya kueleweka.
Kila siku nilifungua duka, lakini mauzo yalikuwa madogo sana kiasi cha kunifanya nipate hasara. Nilijaribu mbinu mbalimbali kupunguza bei, kubadilisha bidhaa, hata kuboresha mpangilio wa duka langu lakini hakuna kilichofanya kazi.
Kadri siku zilivyopita, ndivyo nilivyozidi kukata tamaa. Hali hiyo ilinifanya niingie kwenye mawazo mengi. Nilianza kufikiria hata kufunga biashara kabisa kwa sababu sikuona mwelekeo wowote wa kubadilika.








No comments:
Post a Comment