𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐋𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐌𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐔𝐌𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐎𝐓𝐀 𝐍𝐃𝐎𝐓𝐎 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐎𝐆𝐎𝐅𝐘𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 23 April 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐋𝐈𝐍𝐃𝐀 𝐌𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐔𝐌𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐎𝐓𝐀 𝐍𝐃𝐎𝐓𝐎 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐎𝐆𝐎𝐅𝐘𝐀

Mtoto wangu alikuwa mzima na mwenye furaha kama watoto wengine. Lakini ghafla alianza kuumwa mara kwa mara bila sababu ya wazi. Wakati mwingine anapata homa, wakati mwingine analalamika maumivu ya mwili, na usiku alianza kuamka akiwa na hofu baada ya kuota ndoto za kuogofya.

Nilimpeleka hospitali mara kadhaa. Vipimo vilifanyika, dawa zikatolewa, lakini hali haikubadilika kwa muda mrefu. Kila alipona kidogo, baada ya siku chache tatizo lilirudi tena. Ilianza kunitia hofu kubwa kama mzazi.

ENDELEA  KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad