NILIVYOPATA PROMOSHENI KUBWA KAZI BAADA YA KUDHANI NILIKUWA NIMEFELI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, April 12, 2026

NILIVYOPATA PROMOSHENI KUBWA KAZI BAADA YA KUDHANI NILIKUWA NIMEFELI

Mimi nilikuwa nimefanya kazi kwenye kampuni moja kwa muda mrefu lakini sikuwahi kupata nafasi kubwa. Nilikuwa nafanya kazi kwa bidii, lakini mara nyingi nilihisi kama juhudi zangu hazionekani. Kila mara nafasi za kupandishwa cheo zilipotoka, nilikuwa napuuzwa.

Hilo lilianza kunifanya nipoteze motisha na kujiamini. Nilianza kufikiria labda siwezi kufanikiwa zaidi kazini. Nilikuwa na hofu ya kuendelea kubaki sehemu moja bila mabadiliko yoyote. Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa kazi kuhusu hali yangu.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad