NILIVYOPATA UJASIRI BAADA YA KUDHARAULIWA KAZINI KWA SABABU YA KIPATO CHANGU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, April 14, 2026

NILIVYOPATA UJASIRI BAADA YA KUDHARAULIWA KAZINI KWA SABABU YA KIPATO CHANGU

Mimi nilikuwa nafanya kazi sehemu moja kwa muda mrefu, lakini kipato changu kilikuwa kidogo ukilinganisha na wengine. Hilo lilifanya baadhi ya wafanyakazi wenzangu kunichukulia poa na wakati mwingine kunidharau waziwazi.

Maneno ya kejeli yalikuwa ya kawaida. Wakati mwingine walikuwa wakicheka mbele yangu, na hata mawazo yangu hayakuzingatiwa kwenye mikutano. Nilianza kujiona mdogo na kupoteza kujiamini kabisa.


Kadri muda ulivyopita, nilianza kukaa kimya zaidi. Niliogopa kuongea au kujitetea. Ilikuwa kama nimekubali hali hiyo, lakini moyoni nilikuwa naumia sana. Siku moja nilimweleza kaka yangu hali yangu.

ENDELEA  KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad