NILIVYOREJESHA FURAHA YA KUWA BABA BAADA YA WATOTO KUNIKATAA KWA MUDA MREFU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, April 14, 2026

NILIVYOREJESHA FURAHA YA KUWA BABA BAADA YA WATOTO KUNIKATAA KWA MUDA MREFU

Mimi nilikuwa baba ambaye nilipenda sana watoto wangu, lakini kwa kipindi fulani mambo yalibadilika. Watoto wangu walianza kuniepuka na hawakuwa karibu nami kama zamani.

Walikuwa wakiongea na mama yao zaidi, lakini kwangu walikuwa kimya au wanajitenga.

Hilo liliniumiza sana moyoni. Nilijaribu kuzungumza nao, lakini hawakufunguka. Kadri siku zilivyopita, umbali ulizidi kuongezeka. Nilianza kujilaumu na kujiuliza ni wapi nilikosea kama baba.

 Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa karibu hali yangu.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad