Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya Grupa Zenith kutoka nchini Poland, Dkt. Aleksander Joseph Widuchi, tarehe 14 Aprili, 2026 Ikulu Dar es Salaam.
Kampuni ya Grupa Zenith ni Kampuni ya Kimataifa iliyojikita kwenye masuala ya Nishati Safi ya Kupikia, Usafishaji Maji na Usafi wa Mazingira, Mifumo ya Ufugaji wa Viumbe vya Majini na Nishati Jadidifu.











No comments:
Post a Comment