WAZIRI MKUU AWAHUTUBIA WANANCHI MVUMI MISHENI DODODMA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, April 13, 2026

WAZIRI MKUU AWAHUTUBIA WANANCHI MVUMI MISHENI DODODMA

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Shule ya Msingi Boys iliyopo Mvumi Misheni kwenye jimbo la Mvumi, Dodoma, Aprili 12, 2026.
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipohutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Shule ya Msingi Boys iliyopo Mvumi Misheni katika jimbo la Mvumi Dodoma, Aprili 12, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad