𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐌𝐙𝐎 𝐍𝐀 𝐌𝐆𝐄𝐍𝐈 𝐖𝐀𝐊𝐄 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐏𝐀𝐔𝐋 𝐊𝐀𝐆𝐀𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐑𝐖𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐈𝐊𝐔𝐋𝐔 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, May 3, 2026

𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐌𝐙𝐎 𝐍𝐀 𝐌𝐆𝐄𝐍𝐈 𝐖𝐀𝐊𝐄 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐏𝐀𝐔𝐋 𝐊𝐀𝐆𝐀𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐑𝐖𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐈𝐊𝐔𝐋𝐔

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026
Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad