Kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto kubwa za kufanikiwa kibiashara. Nilikuwa naamini ukifanya kazi kwa bidii na kuwa mvumilivu, lazima siku moja maisha yabadilike. Lakini kwangu mambo yalikuwa tofauti kabisa. Biashara ya kwanza niliyoanzisha ilikufa ndani ya miezi michache. Nilijiambia labda nilikosea mbinu au sikuwa na uzoefu wa kutosha.
Nikajikaza tena. Baadaye nikafungua biashara nyingine kwa matumaini makubwa. Mwanzoni ilionekana kwenda vizuri, lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika. Wateja wakapungua bila sababu, bidhaa zikaanza kukwama, na mwisho nikapata hasara kubwa tena.









No comments:
Post a Comment