Kwa miaka miwili nilikuwa naishi maisha ya kukataliwa. Kila wiki nilikuwa natuma CV, nikajaza applications, na kwenda interviews nikiwa na matumaini makubwa. Wakati mwingine nilikuwa nafika hatua ya mwisho kabisa ya usaili, mpaka naambiwa, “Tutakupigia simu.” Lakini simu haikuwahi kuja.
Mwanzoni nilijipa moyo. Nilijua maisha si rahisi na kila mtu hupitia changamoto. Lakini kadri muda ulivyopita, hali ilianza kuniumiza zaidi.
Nilikuwa na qualifications nzuri, nilijitahidi kuvaa vizuri kwenye interviews, na hata kujifunza jinsi ya kujibu maswali kwa confidence.









No comments:
Post a Comment