𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐎𝐊𝐎𝐀 𝐇𝐀𝐑𝐔𝐒𝐈 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐂𝐇𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐊𝐔𝐁𝐀𝐃𝐈𝐋𝐈𝐊𝐀 𝐆𝐇𝐀𝐅𝐋𝐀 𝐖𝐈𝐊𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐂𝐇𝐄 𝐊𝐀𝐁𝐋𝐀 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Subscribe Us

Post Top Ad

Thursday, May 14, 2026

𝐍𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎𝐎𝐊𝐎𝐀 𝐇𝐀𝐑𝐔𝐒𝐈 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐂𝐇𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 𝐊𝐔𝐁𝐀𝐃𝐈𝐋𝐈𝐊𝐀 𝐆𝐇𝐀𝐅𝐋𝐀 𝐖𝐈𝐊𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐂𝐇𝐄 𝐊𝐀𝐁𝐋𝐀 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀

Nilidhani nilikuwa nimefika mwisho wa safari yangu ya mapenzi. Maandalizi ya harusi yalikuwa yameanza vizuri, familia zote zilikuwa tayari, na kila kitu kilionekana kwenda sawa. Nilikuwa na furaha kwa sababu nilikuwa karibu kuanza maisha mapya na mtu niliyempenda kwa moyo wangu wote. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.

Wiki chache kabla ya harusi, mchumba wangu alianza kuwa tofauti kabisa. Simu zilipungua, messages zikawa za baridi, na kila nilipojaribu kuzungumza kuhusu mipango ya harusi alionekana kutokuwa interested kama zamani.

Mwanzoni nilijipa moyo nikisema labda ni pressure za maandalizi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad