Siku hiyo ilikuwa ya kawaida kabisa mpaka nilipoamka asubuhi na kugundua ng’ombe wangu wawili hawapo. Nilidhani labda wamefunguliwa kimakosa na kutoka wenyewe, lakini baada ya kuwatafuta maeneo yote bila mafanikio, nilijua wazi walikuwa wameibwa.
Uchungu ulionijaa siku hiyo siwezi hata kuueleza. Hao ng’ombe ndio walikuwa tegemeo langu kubwa. Nilikuwa nimetumia miaka kuwalea, na ghafla wakatoweka usiku mmoja tu.
Tulianza kuwatafuta kila mahali pamoja na majirani, lakini hakuna aliyekuwa na taarifa yoyote.









No comments:
Post a Comment