𝗪𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗘𝗦𝗖𝗢 𝗠𝗞𝗢𝗔 𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗡𝗚𝗜𝗗𝗔 𝗪𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗠𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜𝗠𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, May 1, 2026

𝗪𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗘𝗦𝗖𝗢 𝗠𝗞𝗢𝗔 𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗡𝗚𝗜𝗗𝗔 𝗪𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗠𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜𝗠𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜

Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Singida wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo kitaifa yamefanyika Mkoa wa Njombe. Maadhimisho hayo kimkoa yamefanyika Uwanja wa Bombadia Manispaa ya Singida na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego.Wafanyakazi wa shirika hilo wakionesha matumizi ya nishati safi ya kupikia ambayo imekuwa ikisisitizwa kutumia umeme zaidi na kuacha matumizi ya mkaa na kuni ili kutunza mazingira. Maandamano yakipita mbele ya mgeni rasmi.Maonesho mbalimbali yakipita mbele ya mgeni rasm Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego (hayupo pichani).

Imeandaliwa na Dotto Mwaibale 

simu namba 0754362990

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad