Ni chombo cha habari kinachotoa habari na matukio mbalimbali nchini Tanzania na kokote duniani ,kwa kujali weledi na taaluma ya habari.
KWA MATANGAZO NA HUDUMA YA HABARI, WASILIANA NASI,
0754 362 990.
0688 914 344
Email: singidani77@gmail.com,
JAB: UANDISHI USIOZINGATIA MAADILI WAHATARISHA UMOJA WA KITAIFA NA AMANI
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula akizungumza na waandishi wa habari ambao ni wanachama wa JUMIKITA, TADIO na TBN, Aprili 17, 2026 jijini Dar es Salaam.