Baadhi ya Makatibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wanaoshiriki Mafunzo Elekezi kuhusu Matumizi ya Mfumo Mpya wa Mahakama wa Kusajili na Kuratibu Mashauri (e-CMS) wakifuatilia mada kuhusu namna mfumo huo unavyofanya kazi katika mafunzo hayo yaliyofanyika Mkoani Morogoro.



Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa
Serikali, Ndg. Mark Mulwambo (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja
na Makatibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua
Mafunzo Elekezi kuhusu Matumizi ya Mfumo Mpya wa Mahakama wa Kusajili na
Kuratibu Mashauri (e-CMS) yaliyofanyika Mkoani Morogoro. Wa kwanza kulia ni
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masjala ya Sheria wa Ofisi hiyo Ndg. Dennice Leonard
na wa kwanza kushoto ni Wakili wa Serikali, Bi. Emma Ambonisye.












No comments:
Post a Comment