RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 12 January 2024

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika Uwanja wa Amani katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12,2024.

 Baadhi ya Wakuu wa Nchi waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani Januari 12,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani Januari 12,2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari,2024.
Wananchi na wageni mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani Januari 12,2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani Januari 12,2024.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad