Mkurugenzi wa Mawasiliano
ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei,
2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji) Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na
Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu masuala
ya Uwekezaji wakati wa Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan,
Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni,
2024.

Waziri
wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu masuala mbalimbali ya Teknolojia ya
Mawasiliano wakati wa Ziara Rasmi ya Kiserikali
aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri
ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.

Waziri
wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu
Kijaji akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei,
2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.

Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa
kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 06 Juni, 2024 kuhusu Ziara Rasmi ya Kiserikali aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei,
2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.

Viongozi mbalimbali pamoja na Waigizaji wakiwa kwenye mkutano wa
Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Juni,
2024 kuhusu Mafanikio yaliyopatikana kufuatia Ziara Rasmi ya Kiserikali
aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jijini Seoul, Jamhuri
ya Korea kuanzia tarehe 31 Mei, 2024 hadi tarehe 05 Juni, 2024.

No comments:
Post a Comment