Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil, Jijini Seoul, tarehe 03 Juni, 2024. Mwimbaji huyo Maarufu ameimba nyimbo mbalimbali ikiwemo baadhi za kutangaza vivutio vya Utalii nchini Tanzania.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil
mara baada ya mazungumzo yao Seoul, tarehe 03 Juni, 2024. Mwimbaji huyo Maarufu
ameimba nyimbo mbalimbali ikiwemo baadhi za kutangaza vivutio vya Utalii nchini
Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa
zawadi Mwimbaji Maarufu
wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil wakati wa mazungumzo yao
Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipokea zawadi ya DVD zenye nyimbo za vivutio vya Utalii nchini Tanzania kutoka kwa Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil
wakati wa mazungumzo yao Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024.












No comments:
Post a Comment