Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi
pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa
Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya
Korea tarehe 04 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
baadhi ya Viongozi mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika
uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04
Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa
mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri
ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya
Korea kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Korea na Afrika tarehe 04 Juni, 2024.














No comments:
Post a Comment