Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali
walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika ambao
umefanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na
Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya
Korea na Afrika. Mkutano huo ulifanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya
Korea tarehe 05 June, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Tanzania na Jamhuri ya Korea
ambao walihudhuria Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea
na Afrika, Westin Josun Jijini Seoul, tarehe 05 June, 2024












No comments:
Post a Comment