RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA BIASHARA JIJINI SEOUL, JAMHURI YA KOREA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 6 June 2024

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA BIASHARA JIJINI SEOUL, JAMHURI YA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa wakati wa Mkutano wa Biashara uliofanyika katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad