Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Kati, Asajile John, akizungumza wakati wa Semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Kanda ya Kati kuhusu Kanuni za Utangazaji wakati wa Uchaguzi iliyofanyika Juni 13, 2024 jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Eng. Andrew Kisaka na Meneja wa Kitengo cha Wateja na Watumiaji, Thadayo Ringo.
Meneja wa Kitengo cha Wateja na Watumiaji wa TCRA, Thadayo Ringo akichangia jambo wakati wa semina hiyo..,
Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Eng. Andrew Kisaka, akitoa mada kuhusu Kanuni za Utangazaji wakati wa Uchaguzi.
Mhandisi Kadaya Baluhye, akichangia jambo kwenye semina hiyo.
Mwanahabari Deo Kanji akizungumza kwenye semina hiyo.
Semina ikiendelea.
Washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa kwenye semina hiyo ya siku moja iliyofanyika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
Semina ikiendelea.
Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo.
Semina ikiendelea.







No comments:
Post a Comment