Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Katavi Dkt. Serafini Patrice kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo mara baada ya kuwasili kwenye Hospitali hiyo Mpanda Julai 14, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Dkt. Maria Matei kuhusu
wodi ya watoto njiti (NICU) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo
Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza na Wananchi mara baada ya
kutembelea Hospitali hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiwapungia mkono wananchi wakati akiondoka
mara baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda
katika Muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo 





Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya mashine ya CT scan
iliyopo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo
wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo,
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mmoja wa mzazi
aliyejifungua katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda wakati
wa muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na Waaguzi wa
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda wakati wa Muendelezo wa
Ziara yake ya Kikazi mkoani humo.















No comments:
Post a Comment