Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Camillus Wambura akikagua gwaride na baadae akizungumza na maofisa, wakaguzi na
askari wa vyeo mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro Agosti 16,2024 ikiwa ni
muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo.IGP Wambura amewataka maofisa, wakaguzi na askari kuendelea kutekeleza majukumu yao ya kazi za
Polisi kwa kuzingatia nidhamu, weledi na uadilifu pamoja na kutenda haki kwa
wananchi wanaowahudumia na kuhakikisha
wanatoa huduma bora kwa mteja wa Ndani na Nje sambamba na utekelezaji wa
maelekezo ya Tume ya Haki Jinai.
Maafisa wa jeshi la polisi wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Mkutano ukiendelea











No comments:
Post a Comment