RAIS DKT. SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA SUKARI CHA MKULAZI MKOANI MOROGORO

Subscribe Us

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA SUKARI CHA MKULAZI MKOANI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akitazama kiwanda mara baada ya kukizindua rasmi kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi Bw. Selestine Some wakati wa hafla ya uzinduzi wa kiwanda  hicho kilichopo Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.
Sehemu ya kiwanda cha Sukari Mkulazi ambapo miwa hupokelewa na kuchakatwa katika hatua za awali, ambacho kimezinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti 2024.
Taswira mbalimbali za muonekaniko wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi ambacho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekizindua tarehe 7 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Watumishi na Wananchi wa maeneo Jirani mara baada ya kuzindua kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.

Post a Comment

0 Comments