Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akifurahia jambo na Watoto wa Jamii ya Kimasai mara baada ya kukagua mabanda ya
Maonesho kuhusu Kampeni ya Tutunzane, Mvomero mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti,
2024.
Kuhusu - Singidaniblog
No comments:
Post a Comment