RAIS DKT. SAMIA ASHUKURU BAADA YA KUSOMEWA DUA TUNDURU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 27 September 2024

RAIS DKT. SAMIA ASHUKURU BAADA YA KUSOMEWA DUA TUNDURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishukuru mara baada ya kusomewa  Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma leo tarehe 27 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad