Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Majimaji
mjini Songea kwa ajili ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa
mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Watoto wawili juu ya gari wakiwapungia
mkono Wananchi wa Songea mara baada ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la
Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji mkoani Songea tarehe 23
Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya
kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa
Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipotembelea
mabanda ya Maoneshokatika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma tarehe
23 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda ya Maonesho
kwenye Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa
Majimaji mkoani Songea tarehe 23 Septemba, 2024.


















No comments:
Post a Comment