Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika kaburi
la Chifu Msaidizi wa Wangoni Nduna Songea Mbano ambaye pia alinyongwa na
kukatwakichwa na Wajerumani mwaka 1906. Rais Dkt. Samia ameanza ziara ya kikazi
mkoani Ruvuma ambapo atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na
kuzungumza na wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika kaburi la
pamoja la Mashujaa wa Vita vya Majimaji walionyongwa na Wajerumani tarehe
27/02/1906 wakati wa Vita hivyo mjini Songea. Rais Dkt. Samia ameanza ziara ya
kikazi mkoani Ruvuma ambapo atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na
kuzungumza na wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoka kwenye moja ya nyumba yautamaduni
wa asili ya Wangoni iliyopo katika Makumbusho ya Vita vya Majimaji, Songea
mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mara baada
ya kuwasili katika Makumbusho ya Vita vya Majimaji, Songea mkoani Ruvuma tarehe
23 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wakati
akielekea Songea mjini wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Ruvuma tarehe 23
Septemba, 2024.























No comments:
Post a Comment