RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEMTEMBELEA MZAA GAVU KIJIJINI KWAO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, 21 September 2024

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEMTEMBELEA MZAA GAVU KIJIJINI KWAO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Haji Ussi Haji Gavu Mwenyekiti Mstaafu wa  Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja, alipofika nyumbani kwake Kijiji cha Michamvi Msuwakini Wilaya ya Kusini Unguja, kumtembelea na kumjulia hali yake  21-9-2024.
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Haji Ussi Haji Gavu, alipofika nyumbani kwake Kijiji cha Michamvi Msuwakini Wilaya ya Kusini Unguja leo 21-9-2024, kumtembelea na kumjulia hali yake .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad