Viongozi
mbalimbali wakila kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla fupi ya
Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla
fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza
mara baada ya kuwaapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
ya Tanzania na Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini
Dar es Salaam.














No comments:
Post a Comment