Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika dagaa waliofungashwa kitalaamu wakati alipotembelea Banda la Maonesho la Chama cha Wanawake wanaojishugulisha na Biashara ya Samaki (TAWFA ) Kushoto ni Beatrice Mmbaga kutoka TAWFA Kanda ya Ziwa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Afrika , Karibian na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na masula ya Uvuvi, Bahari, Maziwa na Mito, Septemba 11, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Afrika , Karibian na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na masula ya Uvuvi, Bahari, Maziwa na Mito, Septemba 11, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Afrika , Karibian na Pasifiki (OACPS) wanaohusika na masula ya Uvuvi, Bahari, Maziwa na Mito uliofanyika kwenye Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2024.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments