Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)
Jenerali Jacob John Mkunda kwenye Kikao maalum cha maandalizi ya Mkutano wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
(SADC) Novemba 12, 2024 Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Taswira ya kikao hicho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakifurahi kwenye kikao hicho.
0 Comments