Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifakilichofanyika JijiniDodoma tarehe 17 Januari, 2025.
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) wakiwa
kwenye Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17 Januari,
2025.




















No comments:
Post a Comment