TK MOVEMENT WILAYA YA IKUNGI YAONGOZA UPANDAJI MITI KITAIFA WILAYANI HUMO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 23 March 2025

TK MOVEMENT WILAYA YA IKUNGI YAONGOZA UPANDAJI MITI KITAIFA WILAYANI HUMO

Mratibu wa TK Movement Wilaya ya Ikungi, Hussein Mseule (katikati) pamoja na na Mwakilishi wa Afisa Misitu wa  Wilaya ya Ikungi, Emanuel Pius  kushoto Wakimkabidhi miche ya miti Mkuu wa Shule ya Secondari ya Munkinya, Faraja Mlelwa wakati wa siku ya upadaji miti kitaifa.
Viongozi wa TK Movement wa Wilaya ya Ikungi, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya  Ikungi, Viongozi wa Kata ya Dungunyi, Walimu na Wanafunzi wa shule ya Secondari ya Munkinya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kushiriki upandaji wa miti.
Wanafunzi wakipata mafunzo ya umuhimu wa upandaji miti na utunzaji wa mazingira.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad