CHAKAMWATA CHATOA RUHUSA WALIMU KUWASHITAKI WAKURUGENZI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, April 11, 2025

CHAKAMWATA CHATOA RUHUSA WALIMU KUWASHITAKI WAKURUGENZI

Viongozi wa Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania  (CHAKAMWATA), wakizungumza na waandishi wa habari mkoani Mbeya.

.........................................

Na Zuhura Jafari, Mbeya 

CHAMA cha kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania  (CHAKAMWATA), Kimewaruhusu Waalimu kuwashtaki waajiri wao ambao ni Wakrgenzi wa Halmashauri ikiwemo  kuwapeleka Mahakamani.

Akizungumza na walimu Katibu Mkuu wa Chama hicho Taifa, Meshaki Kapange  alisema maslahi ya walim yamekuwa yakipuzwa na baadhi ya wakurgenzi ambao ni waajiri.

“Sisi kama chama tupo tayari kubeba dhamana ya khakikisha maslahi ya walim yanatekelezwa,” alisema Kapange.

Alisema Tanzania ni nchi huru lakini watumishi wa sekta ya elimu hasa walimu hawaapo huru kutokana mazingira magum ya kazi yao.

Alisema baada ya kanzishwa kwa chama cha walimu (CWT) walim waliowengi waliingizwa kwenye chama hicho bila ya ridhaa yao na kjikta wakikatwa mishahara jambo ambalo haikwa sahihi kwani ushirikishwaji katika jambo hilo ulipaswa kzingatiwa.

Alisema kndi hilo la walim ambalo ni la muhim katika Taifa limekwa likichuliwa poa tu na kudharaliwa ikiwa pamoja na kunyanyaswa  na kushindwa kuwa na maamuzi sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad