DKT. BITEKO AWASILI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 22 April 2025

DKT. BITEKO AWASILI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO

Dkt. Biteko Kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi Arusha

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili Jijini Arusha kwa kuanza ziara a kikazi ya siku tano mkoani humo.

....................................................

Na Mwandishi Wetu, Arusha

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 22, 2025 amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tano ambapo anatarajiwa kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi kupitia mikutano ya hadhara.

Aprili 23 hadi 26, 2025 Dkt. Biteko atatembelea miradi ya Maji, Elimu, Hospitali na kuzungumza na wananchi kupitia mikutano ya hadhara katika Wilaya za Arusha, Arumeru, Longido na Monduli.

Aidha, ziara hiyo ya kikazi ya siku tano ya Dkt. Biteko ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano Muungano.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad