Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Mzee Obed Ambonisye na viongozi na wananchi baada ya kukabidhi nyumba hiyo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifungua mlango wa nyumba hiyo kuashiria kuikabidhi rasmi kwa Mzee Obed Ambonisye.
Muonekano wa nyumba hiyo aliyokabidhiwa Mzee Obed Ambonisye.










No comments:
Post a Comment