HALMASHAURI YA WILAYA YA MANYONI YATOA MAFUNZO YA UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, April 15, 2025

HALMASHAURI YA WILAYA YA MANYONI YATOA MAFUNZO YA UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO

Maafisa wa Tendaji wa Kata na Wenyeviti wa Vitongoji wakishiriki mafunzo hayo.
....................................

Na Dotto Mwaibale, Singida


 HALMASHAURI ya Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida imetoa mafunzo kwa ajili ya kukusanya kodi ya majengo  

Mafunzo haya yametolewa Aprili 15, 2025 kwa watendaji pamoja na wenyeviti wa vitongoji ili kuwawezesha kutumia mfumo maalumu wa kukusanyia kodi hizo za majengo.

Kodi ya majengo itatozwa kwa majengo ambayo hayana LUKU kwani kwa wenye LUKU kodi hizo hukatwa moja kwa moja 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad