NILIWACHWA NA KILA RAFIKI BAADA YA KUWA TAJIRI GHAFLA, SIRI YA MAFANIKIO YANGU ILIPOJULIKANA WOTE WALITUBU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, July 25, 2025

NILIWACHWA NA KILA RAFIKI BAADA YA KUWA TAJIRI GHAFLA, SIRI YA MAFANIKIO YANGU ILIPOJULIKANA WOTE WALITUBU

Nilikuwa nimezoea maisha ya kawaida ya umaskini. 

Siku zote nilipambana kuendesha maisha yangu, nikitafuta vibarua vya hapa na pale mjini Mbeya ili nipate pesa ya chakula na kodi.

 Nilikuwa na marafiki wengi wa karibu hasa wanawake tuliokuwa tukisaidiana kila mara mambo yalipoenda kombo. Tulikuwa kama dada; nilifikiri urafiki wetu ungekuwa wa milele....SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad