SIKU YA KWANZA KUMBEBA MTOTO WANGU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, July 26, 2025

SIKU YA KWANZA KUMBEBA MTOTO WANGU

Naweza kusema hakuna furaha anayokuwa nayo mwanamke kama kuitwa Mama, daima siwezi kuisahau siku ambayo nilimshika kwa mikono yangu mtoto wangu wa kwanza kwa mara ya kwanza. 

Chozi la furaha lilinitoka bila mwenyewe kujua, nilijikuta nalia tu kwa furaha niliyokuwa nayo, moyo wangu ulihemewa kwa furaha ambayo ni vigumu kuelezeka na kueleweka. Nasema hivyo kwa...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad