KENAN KIHONGOSI: UTEUZI WA BUSARA USHINDI WA CCM

Subscribe Us

KENAN KIHONGOSI: UTEUZI WA BUSARA USHINDI WA CCM

Katibu wa NEC,  Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Kenan Kihongosi

................................................. 

KATIKA zama hizi ambapo siasa inahitaji sauti mpya, nguvu mpya na fikra mbadala, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha tena upeo wake wa kiuongozi kwa kufanya mabadiliko muhimu yenye sura ya matumaini mapya.

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imepitisha uteuzi wa kijana Kenani Kihongosi kuwa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na mafunzo  wa chama, nafasi nyeti inayobeba mzigo mkubwa wa kuwasilisha sera, kueleza mafanikio ya Serikali na kuimarisha mawasiliano na wanachama na wananchi kwa ujumla.

Ni uteuzi unaothibitisha falsafa ya CCM ya kuwa chama cha mapinduzi kisichokoma kujiweka upya, chama kinachotazama mbele, na chama kisichohofu kuwapa vijana nafasi za kiuongozi. 

CCM IMEFANYA UAMUZI SAHIHI

Kupitia uteuzi huu...SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments