KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025: TAKUKURU TANGA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI

Subscribe Us

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025: TAKUKURU TANGA YAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI


 Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, Ramadhani Ndwatah, akizungumza na waandishi wa habari Mkoa wa Tanga wakati wa utoaji wa mafunzo ya mapambano ya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.

....................................

Na Mashaka Kibaya,Tanga

WANAHABARI mkoani Tanga, wametakiwa kutumia kalamu zao katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa, kwa maelezo kuwa wao wana nguvu ya ziada kutumia vyombo vyao kufikisha taarifa ya athari za vitendo vya rushwa kwa wananchi walio wengi.

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa  Tanga, Ramadhani Ndwatah, ametoa wito huo jana kwenye semina ya mafunzo kwa Waandishi wa habari kuhusu nafasi ya wanataaluma hao katika kuzuia rushwa kuelekea uchaguzi wa oktoba,2025...SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments