MWANZA YAMLAKI NCHIMBI

Subscribe Us

MWANZA YAMLAKI NCHIMBI


Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapindui (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwahutubia wananchi wa Ngudu wilayani Kwimba mkoani Mwanza baada ya kuanza rasmi kampeni za uchaguzi Mkoa wa Mwanza.leo Agosti 29, 2025,

...............................

Na Godwin Myovela 

Leo macho ya Watanzania na hususan wakazi wa Mwanza yanageukia kwenye sura mpya ya safari ya kisiasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). 

Ni siku ya kihistoria ambapo Balozi Dk. Emanuel Nchimbi, mgombea mwenza wa CCM, anaanza rasmi ziara yake ya kwanza ya kampeni jijini Mwanza. 

Ziara ambayo inaleta hamasa, imani na matumaini mapya kwamba Tanzania inaendelea kuandika ukurasa mwingine wa ustawi wa wananchi wote bila kubagua.

Balozi Nchimbi si jina geni katika medani za uongozi na utumishi wa umma. Ametumikia taifa katika nafasi mbalimbali zenye heshima na heshima yake imedumu kupitia uadilifu, uchapakazi na kujitoa kwake kwa dhati...SOMA ZAIDI 



Post a Comment

0 Comments