SAMIA AANZA SAFARI YA KIHISTORIA MOROGORO: TAIFA LA MATUMAINI MAPYA

Subscribe Us

SAMIA AANZA SAFARI YA KIHISTORIA MOROGORO: TAIFA LA MATUMAINI MAPYA


 Rais na Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akipunga mkono kuwasalimia wananchi na wana CCM wakati akiwasili kuzindua kampeni za uchaguzi wa chama hicho Agosti 28, 2025 uliofanyika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Jijini Dar es Salaam

......................................

Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam

Leo ni siku ya kihistoria kwa mkoa wa Morogoro na taifa kwa jumla. Rais na Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi ziara ya kitaifa ya kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Ziara hii si ya kawaida, bali ni mwanzo wa safari mpya ya mageuzi yanayolenga kuibadilisha Tanzania kwa maslahi mapana ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

Katika hotuba yake ya uzinduzi wa kampeni jijini Dar es Salaam jana, Rais Samia alieleza kwa uwazi dira ya Serikali atakayoiongoza endapo atachaguliwa, akianzia na mpango wa siku 100 za mwanzo. Hizi si ahadi za kisiasa tu, bali ni ahadi za matumaini ya kweli...SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments