DAWA YA MUME ASIYETAKA UFANYE BIASHARA

Subscribe Us

DAWA YA MUME ASIYETAKA UFANYE BIASHARA

Jina langu ni Lina. Ninafanya biashara ya uwakala wa pesa.

 Nilianza na mtaji mdogo sana, nikishirikiana kwenye vikoba na michezo ya kuongezea kipato, mpaka nikafanikiwa kupata milioni moja.

 Baada ya hapo, nikaingia sokoni kufanya biashara yangu ya uwakala wa pesa.

 Hadi sasa, nimebakia na laki saba tu, na mtaji wangu unaendelea kupungua siku hadi siku.

Mume wangu David ana tabia ambazo mara nyingi sizipendi.

 Mwanzoni hakutaka nifanye biashara, lakini baada ya kumbembeleza, akaniruhusu.

 Hata hivyo, sasa ana tabia ya kutaka kutumia pesa zangu za biashara, ambazo ni za msingi.

SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments