NILIDHANI NITAISHI MASKINI MILELE, LAKINI HATUA NILIYOPIGA ILINIBADILISHA KUWA MILIONEA NDANI YA MWAKA MMOJA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 28 September 2025

NILIDHANI NITAISHI MASKINI MILELE, LAKINI HATUA NILIYOPIGA ILINIBADILISHA KUWA MILIONEA NDANI YA MWAKA MMOJA

Kwa miaka mingi nilikuwa mtu wa kawaida tu nikihangaika na maisha ya kila siku. Nilikuwa nafanya kazi ndogo ndogo ili nipate chakula cha kila siku lakini haikuwahi kunitosha. Kila mwezi nilikuwa na madeni mapya na nilipojaribu biashara, zilianguka kabla hata hazijakomaa.

Nilianza kuamini kuwa labda nililaaniwa au nilizaliwa kuwa maskini milele. Nilipokuwa nikiona watu wa umri wangu wakinunua magari na kujenga nyumba, nilihisi moyo wangu unazidi kukosa tumaini.

Nilipata stress kiasi cha kulala usiku wa manane nikiwa nawaza nitafanyaje nipate maisha bora. Nilikuwa nimeshakata tamaa ya kuwa tajiri na hata nilianza kukubali kuwa labda maisha ya shida ndiyo hatima yangu.

SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad