NILIJARIBU KUACHA POMBE BILA MAFANIKIO, LAKINI ILINIFANYA KUAMKA NIKIWA MTU MPYA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 17 October 2025

NILIJARIBU KUACHA POMBE BILA MAFANIKIO, LAKINI ILINIFANYA KUAMKA NIKIWA MTU MPYA

Jina langu ni Patrick Njoroge, kutoka Nakuru. Kwa zaidi ya miaka saba, nilikuwa mlevi sugu.

 Nilianza kunywa pombe kidogo baada ya kazini, nikidhani ni njia ya kupunguza msongo wa mawazo, lakini haikuchukua muda nikajikuta siwezi kuishi bila pombe. 

Nilipoteza kazi, marafiki wakakimbia, na hata familia yangu ikaonekana kunikata tamaa. Nilikuwa nikiahidi kuacha, lakini kila mara nilijirudia.

Kila asubuhi nilikuwa naamka na maumivu makali kichwani, nikiahidi kuwa hiyo ndiyo siku ya mwisho kunywa, lakini jioni ikifika nilijikuta kwa baa tena.

 Nilikuwa nimegeuka mzigo kwa kila mtu niliyempenda.

Mke wangu alianza kulala chumba tofauti, watoto wakawa wananiogopa, na hata majirani walikuwa wakinicheka kwa sababu ya tabia yangu ya ulevi kupindukia. Nilijiona sifai tena.

SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad