RATIBA YA MECHI ZA KIMATAIFA SIMBA SC, YANGA SC, SBS NA AZAM FC, MUDA NA AZAM TV - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 17 October 2025

RATIBA YA MECHI ZA KIMATAIFA SIMBA SC, YANGA SC, SBS NA AZAM FC, MUDA NA AZAM TV

WIKIENDI itakuwa bize kutokana na kazi kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kusaka ushindi kwenye mechi ambazo watashuka uwanjani.

Hapa tunakuletea ratiba za mechi hizo na muda utakaochezwa kwa saa za Afrika Mashariki namna hii:-

Ligi ya Mabingwa Afrika

Jumamosi, Yanga SC watakuwa Uwanja wa Bingu nchini Malawi dhidi ya Silver Striker, kuwania kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad