Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayas Njalambaha akiwa na Baadhi Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA), Mkoa Mbeya walipotembelea mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Kiislamu inayojengwa barabara ya Nane Sokomatola Jijini Mbeya.
Miradi huo wa shule ya Sekondari ya Kiislamu unatarajiwa kugharimu kiasi cha Sh Bilioni 4 hadi kukamilika kwake Fedha ambazo zinategemea michango na sadaka za Waislamu na Wadau wa Maendeleo ndani na nje ya Mkoa wa Mbeya
Picha ya pamoja baada ya kutembelea mradi huo.Ujenzi wa mradi huo ukiendelea
Muonekano wa mradi huo baada ya kukamilika.







No comments:
Post a Comment